Nigeria inachangia karibu 25% ya watu wote walio katika hatari ya kupata YellowFever barani Afrika
Nigeria inachangia karibu 25% ya watu wote walio katika hatari ya kupata YellowFever barani Afrika.
Kwa mujibu wa takwimu za shirika la Afya Duniani(WHO);
Nchi ya Nigeria inachangia karibu Asilimia 25% ya watu wote walio katika hatari ya kupata YellowFever barani Afrika,
Ila Kwa msaada wa @gavi, nchi ilichanja zaidi ya watu milioni 45 dhidi ya ugonjwa huo wakati wa janga la COVID19 kupitia kampeni za kinga na chanjo yaani “preventive and reactive mass vaccination campaigns”
Na haya ni Maelezo kwenye Ukurasa wa WHO;
“Nigeria ?? accounts for nearly 25% of all the people at risk of YellowFever in Africa ?
With @gavi’s support, the country vaccinated over 45 million people against the disease during the #COVID19 pandemic through preventive and reactive mass vaccination campaigns”