Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

Idadi ya watu duniani wenye umri wa miaka 60 na Zaidi kuongezeka kutoka Millioni 900 -WHO

Idadi ya watu duniani wenye umri wa miaka 60 na Zaidi kuongezeka kutoka Millioni 900 -WHO

Idadi ya watu duniani wenye umri wa miaka 60 na zaidi itaongezeka maradufu, kutoka milioni 900 mwaka 2015 hadi bilioni 2 mwaka 2050,

Hii ni kwa mujibu wa takwimu za Shirika la Afya Duniani(WHO).

Pia, Takwimu za Shirika la afya duniani(WHO) zinaonyesha; Takriban mtu 1 kati ya 6 walio na umri wa miaka 60 na zaidi walikumbana na aina fulani ya unyanyasaji katika Jamii mwaka uliopita,

Viwango vya unyanyasaji wa wazee viko juu katika taasisi kama vile nyumba za wazee na vituo vya utunzaji wazee vya muda mrefu, huku wafanyakazi 2 kati ya 3 wakiripoti kuwa wamefanya unyanyasaji katika mwaka uliopita.

Lakini pia takwimu zinaonyesha Viwango vya unyanyasaji wa wazee vimeongezeka wakati wa janga la COVID-19.

Unyanyasaji wa wazee unaweza kusababisha majeraha makubwa ya kimwili na matokeo ya muda mrefu ya kisaikolojia.

Fahamu Pia, Unyanyasaji wa wazee unatabiriwa kuongezeka kwani nchi nyingi zinakabiliwa na watu wanaozeeka haraka,

Idadi ya watu duniani wenye umri wa miaka 60 na zaidi itaongezeka maradufu, kutoka milioni 900 mwaka 2015 hadi bilioni 2 mwaka 2050.

Credits:WHO

Soma pia hapa: Siku ya kupinga Ukatili kwa Wazee,Juni 15 Kila Mwaka.

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.