Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

Jiwe kubwa zaidi NA zito zaidi kwenye figo kuwahi kurekodiwa laondolewa kwa Mgonjwa nchini Sri Lanka-Guiness World records

Jiwe kubwa zaidi NA zito zaidi kwenye figo kuwahi kurekodiwa laondolewa kwa Mgonjwa nchini Sri Lanka-Guiness World records

Madaktari wa upasuaji nchini Sri Lanka wameondoa jiwe kubwa zaidi NA zito zaidi kwenye figo(Kidney Stone) kuwahi kurekodiwa.

Lilikuwa na urefu wa sentimita 13.37 (inchi 5.26) na upana wa sentimita 10.55 (inchi 4.15). Lilikuwa na uzito wa gramu 800 (lb 1.76) – sawa na besiboli tano.

Na Mgonjwa amepata nafuu.

Na haya ni maneno yaliyoandikwa kwenye Ukurasa wa “Guiness World records” kufwatia Record hiyo;

“Surgeons in Sri Lanka have removed the largest AND heaviest kidney stone ever recorded.

It was 13.37 cm (5.26 in) in length and 10.55 cm (4.15 in) wide. It weighed 800 grams (1.76 lb) – the same as five baseballs.

The patient is recovering well”.

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.