Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

Kila pera Moja lina gramu 5 za sukari na takriban gramu 3 za nyuzinyuzi

Kila pera Moja lina gramu 5 za sukari na takriban gramu 3 za nyuzinyuzi,

Je,Unafahamu kwamba, kuna Virutubisho vya kutosha kwenye Mapera?

FAHAMU:

Kila pera Moja lina gramu 5 za sukari na takriban gramu 3 za nyuzinyuzi(Au Fibers),

Hii ni zaidi ya unavyoweza kupata Virutubisho hivi kutoka kwa mchele au kipande cha mkate wa nafaka.

Pia Fahamu; Ndani ya Mapera kuna madini aina ya Potassium kwa wingi sana,

madini haya husaidia kwenye mwili wa Binadamu Kuweka sawa Kiwango cha Shinikizo la Damu yaani Blood pressure(Bp),

madini haya ya Potassium ndyo husaidia kwenye kushusha Presha yako ya damu,

Hivo kama una tatizo la Presha ya kupanda,Mapera ni mazuri pia kwako.

Forum Manager

Content creator&editor (Ms.Asifiwe)Jukumu langu kwako ni kuhakikisha unapata elimu ya kutosha pamoja na Updates mbali mbali ndani ya http://cdp.pvh.mybluehost.me  Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.