Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

Leo ni Siku ya Wakimbizi Duniani!  Kila mtu ana haki ya kutafuta usalama-WHO

Leo ni Siku Ya Wakimbizi Duniani!  Kila mtu ana haki ya kutafuta usalama-WHO

Leo ni SikuYaWakimbizi Duniani!  Kila mtu ana haki ya kutafuta usalama, awe nani, popote anapotoka na wakati wowote analazimika kukimbia,

Wakimbizi wote lazima wapate mazingira ya ukarimu na huduma za afya za hali ya juu, bila ubaguzi.

Watu milioni 100 walilazimika kukimbia makazi yao mnamo mwaka 2022 kutokana na migogoro, ghasia, ukiukwaji wa haki za binadamu na mabadiliko ya hali ya hewa.

#Wakimbizi #WHO

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.