Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

Leo, tunaungana na jumuiya ya kimataifa katika kuadhimisha Siku ya Sickle Cell Duniani-Wizara afya Kenya

Leo, tunaungana na jumuiya ya kimataifa katika kuadhimisha Siku ya Sickle Cell Duniani-Wizara afya Kenya

Wizara ya afya nchini Kenya katika Maadhimisho ya Siku hii ya Sickle cell Duniani;

Siku hii muhimu inaongeza ufahamu kuhusu ugonjwa wa seli mundu, ugonjwa unaohusisha genes kwenye damu yaani (genetic blood disorder)unaoathiri mamilioni ya watu duniani kote.

Ugonjwa wa Sickle cell ni ugonjwa usioambukiza unaopewa kipaumbele katika Wizara ya Afya,

Wizara ya Afya pamoja na wadau wamezindua miongozo ya kudhibiti ugonjwa wa sickle cell.

Hii itaboresha ubora wa huduma zinazotolewa katika ngazi za vituo vya afya na jamii. Pia tunapanga kuzindua miongozo ya uchunguzi wa watoto wachanga wenye ugonjwa wa seli mundu.

Haya hapa ni maelezo zaidi kwenye Ukurasa wa twitter wa Wizara ya afya nchini Kenya;

“Today, we join the global community in commemorating the World Sickle Cell Day. This important day raises awareness about sickle cell disease, a genetic blood disorder that affects millions of people worldwide. Sickle cell Disease is a priority Non Communicable Disease in the Ministry of Health. The Ministry of Health together with stakeholders have launched guidelines for managing sickle cell disease. This will improve quality of care offered at our health facility and community levels. We are also planning to launch guidelines for infant screening of sickle cell disease”

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.