Siku ya Usalama wa Chakula Duniani tarehe 7 Juni 2023(World Food Safety Day)
Siku ya Usalama wa Chakula Duniani tarehe 7 Juni 2023(World Food Safety Day)
Viwango bora vya chakula huokoa maisha,
Magonjwa yanayosababishwa na vyakula huathiri mtu 1 kati ya 10 duniani kote kila mwaka, na viwango vya chakula hutusaidia kuhakikisha tunachokula ni salama.
Watu 1 600 000 wanaugua kwa sababu ya chakula kisicho salama kwa siku moja, kwa wastani,
Watoto 340 walio chini ya umri wa miaka 5 hufa kutokana na magonjwa yanayoweza kuzuilika kwa chakula, kwa wastani, kila siku,
Magonjwa 200 yanasababishwa na chakula kisicho salama, kuanzia kuhara hadi saratani.