Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

TANZIA: kifo cha aliyekuwa mtumishi wa Wizara ya Afya Bw. ALEX HENRY KABUHAYA 

TANZIA: kifo cha aliyekuwa mtumishi wa Wizara ya Afya Bw. ALEX HENRY KABUHAYA

Uongozi, Menejiment na Watumishi wote wa Wizara ya Afya kwa majonzi makubwa wanasikitika kutangaza kifo cha aliyekuwa mtumishi wa Wizara Bw. ALEX HENRY KABUHAYA kilichotokea 10/06/2023 katika Hospitali ya Rabininsia Jijini Dar Es Salaam.

Marehemu alikuwa akifanya kazi katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Temeke katika Kitengo cha Radiolojia (AMO)
Tunaungana na Ndugu, Jamaa na Marafiki kutoa pole za dhati kwa msiba huu mzito.

Bwana Ametoa, Bwana Ametwaa, Jina lake lihimidiwe.

AMINA.

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.