Wiki hii, Cameroon imepokea dozi Million 1.8 za chanjo ya kipindupindu
Wiki hii, Cameroon imepokea dozi Million 1.8 za chanjo ya kipindupindu, hii ni kabla ya kampeni ya chanjo katika wilaya 11 zilizoathirika zaidi,
Wiki hii, Kamerun ilipokea dozi 1.8 M za chanjo ya kipindupindu kabla ya kampeni ya chanjo katika wilaya 11 zilizoathirika zaidi, ikiwa ni pamoja na katika mji mkuu wa Yaoundé.
Chanjo hizo zitaimarisha udhibiti wa milipuko wa kipindupindu kwani kesi zimekuwa zikiongezeka tangu Machi.
This week,Cameroon received 1.8 M cholera vaccine doses ahead of a vaccination campaign in 11 most-affected health districts, including in the capital Yaoundé. The vaccines will bolster outbreak control as cases have been on the rise since March.
This week, #Cameroon🇨🇲received 1.8 M #cholera vaccine doses ahead of a vaccination campaign in 11 most-affected health districts, including in the capital Yaoundé. The vaccines will bolster outbreak control as cases have been on the rise since March. pic.twitter.com/nNfZbygtwF
— WHO African Region (@WHOAFRO) June 23, 2023