Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

Celine Dion amegunduliwa na ugonjwa adimu unaoitwa stiff person syndrome

Celine Dion amegunduliwa na ugonjwa adimu unaoitwa stiff person syndrome

Matatizo ya ugonjwa huu wa Stiff person syndrome ambao husababisha mkazo na ugumu wa misuli, yamesababisha mwimbaji Celine Dion kughairi tarehe zake za “Courage World Tour” hadi 2024, kulingana na taarifa iliyotumwa Ijumaa kwenye akaunti ya mtandao wa kijamii wa nyota huyo.

Celine Dion aliahirisha performances kadhaa mnamo Desemba baada ya kujua Sababu ya maumivu yake ya misuli na hali anayoipitia kwa Sasa,

“Wakati bado tunajifunza juu ya hali hii adimu, sasa tunajua hii ndio imekuwa ikisababisha hali ya kukakamaa(spasms) ambayo nimekuwa nayo,” Celine Dion alisema wakati huo.

Licha ya kufanyiwa matibabu ya kila siku ya mwili, “anaumwa sana,” chanzo karibu na Dion kiliiambia CNN.

Kwenye official Instagram ya Celine Dion alitangaza kuahirisha tours zake kwa kusema;

“I’m so sorry to disappoint all of you once again. I’m working really hard to build back my strength, but touring can be very difficult even when you’re 100%.

“It’s not fair to you to keep postponing the shows, and even though it breaks my heart, it’s best that we cancel everything now until I’m really ready to be back on stage again. I want you all to know, I’m not giving up… and I can’t wait to see you again!”

• Fahamu Zaidi kuhusu Ugonjwa huu wa Stiff person syndrome, kwa Kusoma hapa 

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.