Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

Kutana na Balozi wa Let’s #StopHIVTogether:Ashley

Kutana na Balozi wa Let’s #StopHIVTogether:@sexwithashley_

Tukomeshe HIV Pamoja na Balozi: @sexwithashley_! ?

Ashley anahimiza kila mtu kuchukua hatua ya kudhibiti afya yake kwa kuzingatia chaguo sahihi la kuzuia VVU ambalo linamfaa zaidi.

Kwa Ashley, yeye anaona chaguo sahihi la kuzuia VVU ni kutumia PrEP,

Kwake PrEP ndyo Jibu ⬇️

#TogetherAmbassadorSpotlight

PrEP ni nini?

Pre-exposure prophylaxis (PrEP) ni dawa zinazotumika kuzuia mtu asipate maambukizi ya virusi vya Ukimwi(HIV),

PrEP zina ufanisi mkubwa wa kuzuia VVU  endapo zinapotumika kama inavyotakiwa.

Kwa Mujibu wa Vituo vya Kudhibiti na kuzuia magonjwa “The centers for diseases control and prevention-CDC”

PrEP zinapunguza hatari ya kupata VVU kutokana na kufanya ngono kwa takribani asilimia 99%,

NB: Kumbuka,kuna tofauti kati ya PrEP na PEP, Soma Zaidi hapa kufahamu tofauti zake.

PrEP hazifanyi kazi vizuri ikiwa hazijatumika kama ilivyoagizwa,

Na Kwa kuwa PrEP hukulinda dhidi ya VVU pekee, matumizi ya kondomu bado ni muhimu kwa ulinzi dhidi ya magonjwa mengine ya Zinaa. Matumizi ya kondomu pia ni muhimu ili kusaidia kuzuia VVU ikiwa PrEP haikutumika kama ilivyoagizwa.

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.