Serikali ya UGANDA kusambaza vyandarua milioni 28.5: #JaneRuth_Aceng
Event: #MosquitoNetCampaign23
Serikali ya UGANDA kusambaza vyandarua milioni 28.5: #JaneRuth_Aceng
Waziri wa Afya nchini Uganda @JaneRuth_Aceng;
“Mwaka huu, Serikali kwa msaada wa @GlobalFund pamoja na Against Malaria Foundation (AMF) inasambaza vyandarua milioni 28.5,
kwa lengo kuu la kupunguza ugonjwa Malaria na vifo vinavyotokana na malaria kupitia kufanikisha upatikanaji wa vyandarua kwa wote”
Waziri wa afya nchini Uganda @JaneRuth_Aceng alisema:
Kati ya Julai 15 na 20; Mji wa Buhweju, Kalangala, Kiruhura, Mitooma, Rubirizi, Sheema, Bushenyi, Serere, Tororo, Kween, Namisindwa, wilaya ya Soroti, mji wa Soroti, wilaya ya Lira na mji wa Lira watapata vyandarua.
#MosquitoNetCampaign23
.@JaneRuth_Aceng: Between July 15th and 20th; Buhweju, Kalangala, Kiruhura, Mitooma, Rubirizi, Sheema, Bushenyi, Serere, Tororo, Kween, Namisindwa, Soroti district, Soroti City, Lira District and Lira City will receive mosquito nets #MosquitoNetCampaign23 pic.twitter.com/zcIC92OUNo
— Ministry of Health- Uganda (@MinofHealthUG) July 18, 2023