Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

TANZIA:Mwanazuoni maarufu Sheikh Maalim Basaleh amefariki dunia

Sheikh Basaleh afariki dunia

Muktasari:

  • Mwanazuoni maarufu Sheikh Maalim Basaleh amefariki dunia leo jioni akipatiwa matibabu katika hospitali ya Aga Khan alikokuwa amelazwa kwa zaidi ya wiki mbili, anatarajiwa kuzikwa kesho saa saba mchana.

Dar es Salaam. Mwanazuoni na sheikh maarufu  Maalim Basaleh amefariki dunia leo Jumapili katika Hospitali ya Aga Khan alipokuwa akipatiwa matibabu akisumbuliwa na matatizo ya figo na saratani.

Mtoto wa marehemu Abdullatif  Ali Basaleh amesema baba yake amefariki saa 12 jioni baada ya kulazwa kwa takribani wiki mbili na nusu akipatiwa matibabu hayo.Amesema mazishi ya baba yake yatafanyika kesho saa 7 mchana katika makaburi ya Kisutu.

“Leo baba amefariki dunia si muda mrefu kesho tutakwenda kumpumzisha baada ya swala ya Adhuhuri,”  amesema Abdullatif.

Credits Source: To  Mwananchi

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.