Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

Tiba ya kurefusha maisha inaendelea kubadilisha maisha ya watu wanaoishi na #VVU

WHO:Tiba ya kurefusha maisha Antiretroviral therapy inaendelea kubadilisha maisha ya watu wanaoishi na #VVU.

Kwa Mujibu wa Shirika la Afya Duniani(WHO); Watu wanaoishi na Virusi vya UKIMWI, ambao wamegundulika Mapema na kuanza Tiba mapema,

Pia mbali na kuanza Tiba mapema, wakaanza Dawa zao kwa Maelekezo sahihi kutoka kwa Wataalam wa afya,

wanaweza kutarajia kuwa na afya sawa pamoja na umri wa kuishi sawa na wenzao wasio na VVU.

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.