Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

WHO:Uvutaji wa Sigara Kuua Nusu ya Watumiaji wote

Kwa Mujibu wa takwimu za shirika la afya Dunuani(WHO):Uvutaji wa Sigara huua Nusu ya Watumiaji wote,

WHO inasema;

Ingawa uvutaji sigara unaua nusu ya watumiaji wote + zaidi ya watu milioni 1 hufa kutokana na moshi wa sigara kila mwaka.

Hapa tunazungumzia ule moshi wa Sigara ambao unauvuta wakati wewe huvuti sigara(second-hand smoke),

Moshi huu unaweza kuuvuta kwa kukaa karibu na mtu anayevuta Sigara bila kujalisha eneo,

Iwe nyumbani, Sokoni,Stend au kwenye mkusanyiko wowote wa Watu, unaweza kuvuta moshi wa sigara.

“1 in 4 countries still don’t have complete smoke-free healthcare facilities. Even though smoking kills half of all users + over 1 million people die from second-hand smoke every year”.

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.