News
Fahamu Kikosi cha Yanga kitakachoanza dhidi ya ASAS FC
Kikosi cha Yanga kitakachoanza dhidi ya ASAS FC
Hiki hapa kikosi cha Yanga SC kitakachoanza dhidi ya ASAS FC leo kwenye mchezo wa wa marudiano wa CAF Champions League utakaopigwa majira ya saa 11:00 jioni katika Uwanja wa Azam Complex, Chamazi.