Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

Kamungo aandika historia ya kuwa Mtanzania wa kwanza kuwahi kucheza dhidi ya Lionel Messi

Mchezaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars Bernard Kamungo @bernardk17 anayecheza FC Dallas ya Marekani, alfajiri ya leo alikuwa uwanjani kucheza dhidi ya Inter Miami inayochezewa na Lionel Messi katika mchezo wa Kombe la Ligi (North & Central America League Cup).

Katika mchezo huo ambao uliongezeka mvuto kutokana na uwepo wa Lionel Messi dakika 90 zilimalizika kwa sare ya 4-4 huku Kamungo akifunga goli la pili kati ya manne ya FC Dallas.

Lionel Messi alikuwa shujaa wa timu hiyo baada ya kuisaidia kufunga magoli mawili wakiwa nyuma na kufanya mchezo umalizike timu ya Messi (Inter Miami) kupata ushindi wa penati 5-3, huku Kamungo akiandika historia ya kuwa Mtanzania wa kwanza kuwahi kucheza dhidi ya Lionel Messi.
Credit:MillardAyoSPORTS

DailyStories

Karibu DailyStories Kwa Taarifa Zote Muhimu ndani na Nje. More Updates everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me  Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.