Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

Kazi yangu inahusu kuosha na kusugua meno maiti:Filinda Kamau raia wa Kenya

Filinda Kamau raia wa Kenya amejikuta akipata maarufu mtandaoni kwa kuchapisha video za TikTok zinazoonesha kazi zake katika chumba kimoja cha kuhifadhia maiti huko Nakuru.

Filinda hufanya kazi kama mhudumu wa kuosha na kutayarisha maiti.

Anasema anataka kuwasaidia watu kukomesha hofu ya vyumba vya kuhifadhia maiti na kumaliza unyanyapaa kwa watu wanaofanya kazi katika maeneo hayo.

Je umewahi kufikiria inakuaje kufanya kazi ya kukutana na maiti kila siku? je changamoto zake? na jamii na ndugu wanamchukuliaje?

Source:Bbcswahili #waridiwabbc #kenya

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.