News
Matokeo: Dakika 90’ za mchezo,Azam FC kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 mbele ya Singida FG
Matokeo: Dakika 90’ za mchezo,Azam FC kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 mbele ya Singida FG .
Dakika 90’ za mchezo wa kutafuta mshindi wa tatu zimemalizika kwa Azam FC kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 mbele ya Singida FG .
Kwa matokeo haya maana yake Singida wamecheza mechi mbili bila kupata bao ! Azam FC wamemaliza kwa uwiano sawa walifungwa 2-0 dhidi ya Yanga leo wameshinda 2-0 dhidi ya Singida .