Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

Mchezaji aliyeamua kuwa Padri baada ya kustaafu – Nesto Shayo

Aliyewahikuwa mchezaji wa klabu ya soka ya Manchester United Phil Mulryne Sasa Ni Mchungaji (Padri) Wa kanisa katoliki huko Nchini kwao Ireland Ya Kaskazini. Mchezaji Huyo Aliamua Kumrejea Muumba Wake baada ya Kuchoshwa Na Pesa pamoja Na Wanawake.

Akiwa na miaka 31 Mchezaji Huyu Alistaafu soka la Kulipwa Wakati huo Akiitumikia Norwich City Akaamua Kurudi Nyumbani kwao Baada ya tathmini Ya kina, Akaanza Taratibu za Kuimarisha imani yake Kwa kuwasaidia Wasio jiweza na wasio Na Makazi,

“Mungu Ndio Muumba Wa Vyote Huenda Ulipo Sio Mahali Sahihi Fanya Maamuzi Sasa”

DailyStories

Karibu DailyStories Kwa Taarifa Zote Muhimu ndani na Nje. More Updates everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me  Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.