Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

Mpaka Sasa Hakuna Dawa ya Kutibu Ugonjwa wa Celine Dion

Dada wa mwanamuziki Céline Dion, Claudette ameweza kufunguka kwa mashabiki taarifa kuhusu afya ya mwimbaji huyo huku akipambana na ugonjwa adim wa Stiff Person Syndrome (SPS), ambao ni hali adimu ya neva wenye sifa za ugonjwa wa autoimmune.

Dada huyo Amefichua kwamba “hawawezi kupata dawa yoyote” ya kutibu ugonjwa huo lakini anasema “kuwa na matumaini ni muhimu.”

Mwimbaji huyo wa Kifaransa wa Canada mapema mwaka jana aliwaambia wafuasi wake zaidi ya milioni 5 wa Instagram hali hiyo inamfanya misuli yake ikaze bila kudhibitiwa.

Pia imemfanya kuwa na ugumu wa kutembea na kuimba, alisema, akimaanisha kuwa hataweza kushiriki maonesho yaliyopangwa nchini Uingereza na Ulaya.

—————-

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.