Mwanaume mmoja ataka kulipwa fidia baada ya kondomu aliyokuwa akitumia wakati wa kujamiiana kudaiwa kupasuka
Mwanaume mmoja ataka kulipwa fidia baada ya kondomu aliyokuwa akitumia wakati wa kujamiiana kudaiwa kupasuka.
Mahakama kuu imetupilia mbali kesi ambapo mwanaume mmoja alikuwa akitaka kulipwa fidia baada ya kondomu aliyokuwa akitumia wakati wa kujamiiana kudaiwa kupasuka.
Jaji Lawrence Mugambi katika kutupilia mbali kesi ya Williamson Omworo alisema ‘yeye ni mtu ambaye ubora wake wa uaminifu unatetereka’.
Justice Lawrence Mugambi in dismissing Williamson Omworo’s case said ‘he is a man whose quality of honesty is shaky’.
#starkenyanews
The High Court has dismissed a case in which a man was seeking to be compensated after a condom he was using during sexual intercourse allegedly burst.
Justice Lawrence Mugambi in dismissing Williamson Omworo's case said 'he is a man whose quality of honesty is shaky'.… pic.twitter.com/kcTmQw6LDu
— TheStarKenya (@TheStarKenya) August 10, 2023