Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

Mwezi Adimu wa Samawati Waonekana

Muonekano huu adimu hautaonekana tena hadi 2037.

Mwezi umeangaza angani kote ulimwenguni, ukionekana kuwa mkubwa na ang’avu kuliko kawaida kwa sababu ni mwezi wa samawati.

Mwezi huu mkubwa hutokea wakati mwezi upo sehemu ya karibu zaidi na mzunguko wake wa dunia.

Na pia mwezi wa samawati, huitwa hivyo kwasababu kunakuwa na Miezi 13 kamili katika mzunguko huu wa kila mwaka badala ya 12.

DailyStories

Karibu DailyStories Kwa Taarifa Zote Muhimu ndani na Nje. More Updates everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me  Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.