Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

Nandy Kwa Mara Ya Kwanza Amposti Mtoto Wake Insta! Picha Ipo Hapa

Mtoto wa Faustina Mfinanga almaarufu Nandy na William Nicholaus Lyimo ‘Bill Nass’.

Staa wa kike wa Bongo Fleva, Faustina Mfinanga almaarufu Nandy kwa mara ya kwanza amemposti mwanaye, Kenaya Instagram aliyezaa na rapa maarufu Bongo, William Nicholaus Lyimo Bill Nass, akimtakia heri ya siku yake ya kuzaliwa, akiwa ametimiza mwaka mmoja.

#Picha:Nandy akiwa na mume wake William Nicholaus Lyimo ‘Bill Nass’

Kupitia akaunti yake ya Instagram, Nandy ameandika:
KENAYA .. siku kama ya leo ndo siku nilipata nguvu ya kukushika mikononi mwangu kwa mara ya kwanza furaha niliyo kuwa nayo haielezeki na wala sijawahi kuipata maishani mwangu tangu nazaliwa.
Nikielezea ukuu wa MUNGU juu yako sitomaliza ila sifa na shukurani namrudishia MUUMBA WA MBINGU.. umekuwa furaha na faraja kubwa sana kwenye familia, umekuwa mtoto mwenye baraka mikononi mwetu,
Baba yako amenifundisha mapenzi lakini wewe umenifundisha jinsi ya kuyaishi mapenzi ya dhati.. nakupenda sana na nakuombea ukue kwenye mikono ya MUNGU! Uwe mtoto wa baraka kwa wengine wakufurahie na kukuombea pia.
Mimi na baba yako tunazidi kumuomba MUNGU atupe umri mrefu ili tuweze kushuhudia watoto wako na familia yako! MUNGU AKUTUNZE BINTI YANGU
ONE YEAR MORE TO COME

DailyStories

Karibu DailyStories Kwa Taarifa Zote Muhimu ndani na Nje. More Updates everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me  Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.