Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

NGAO YA JAMII, Maneno ya Kocha mkuu wa Klabu ya soka ya Young Africans

Kocha mkuu wa Klabu ya soka ya Young Africans, Miguel Gamondi amesema kuwa yeye na benchi lake la ufundi hawawezi kuwapa presha wachezaji wao kuelekea mchezo wa fainali ya ngao ya jamii dhidi ya Simba Sc.

Gamondi amesema hayo baada ya kuulizwa na wanahabari kuhusu maandalizi ya kikosi chake dhidi ya mpinzani wake huyo ambapo mchezo huo utapigwa kesho Jumapili katika Dimba la CCM Mkwakwani Tanga.

“Siyo mimi tu, hata bench langu la ufundi na viongozi hatuwezi kuwapa pressure wachezaji wetu kwa kuizungumzia Simba kwasababu sio timu pekee tutakayoshindana nayo ligi kuu, napenda nizungumzie timu 15 tutakazoshindana nazo katika michezo 30 ya ligi” amesema Gamondi.

DailyStories

Karibu DailyStories Kwa Taarifa Zote Muhimu ndani na Nje. More Updates everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me  Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.