Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

Simba SC kukutana na Yanga SC, ‘Fainali ya ngao ya Jamii’ Agosti 13th Jumapili hii

Simba SC kukutana na Yanga SC, ‘Fainali ya ngao ya Jamii’ Agosti 13th Jumapili hii

Mchezo wa pili wa nusu fainali ya Ngao ya Jamii kati ya Simba SC dhidi ya Singida umemalizika kwa dakika 0-0.

Hivyo changamoto ya mikwaju ya penati ikatumika kuamua mshindi, Simba SC imefanikiwa kutinga fainali ya ushindi wa penati 4-2 dhidi ya Singida Fountain Gate FC.

Sasa Simba SC itacheza fainali dhidi ya Yanga SC siku ya Jumapili ya August 13 2023 katika uwanja wa Mkwakwani Tanga saa 19:00 wakati Singida watawania mshindi wa tatu dhidi ya Azam FC katika mchezo wa mapema

 

DailyStories

Karibu DailyStories Kwa Taarifa Zote Muhimu ndani na Nje. More Updates everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me  Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.