Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

TAARIFA ya Boss wa Mtandao wa X hapo Zamani Twitter “Elon Musk” kuhusu pambano lake na boss wa facebook

TAARIFA ya Boss wa Mtandao wa X hapo Zamani Twitter “Elon Musk” kuhusu pambano lake na boss wa facebook(Meta) bwana Mark Zuckerberg.

Elon Musk ameandika kwenye ukurasa wake wa Twitter(X) kuhusu pambano lake na boss mwezake wa Kampuni ya Meta(facebook) na kusema;

Pambano hilo litasimamiwa na yeye mwenyewe pamoja na Zuck’s foundations (sio UFC).

anasema Livestream itakuwa kwenye jukwaa hili akiwa na maana ya mtandao wake wa X(Zaman twitter) na Meta,

Kila kitu kwenye sura ya kamera kitakuwa Roma ya zamani, kwa hivyo hakuna kitu cha kisasa kabisa.

“Nilizungumza na Waziri Mkuu wa Italia na Waziri wa Utamaduni. Wamekubaliana juu ya eneo la epic”; anasema@Elon Musk.

The fight will be managed by my and Zuck’s foundations (not UFC).

Livestream will be on this platform and Meta. Everything in camera frame will be ancient Rome, so nothing modern at all.

I spoke to the PM of Italy and Minister of Culture. They have agreed on an epic location.

DailyStories

Karibu DailyStories Kwa Taarifa Zote Muhimu ndani na Nje. More Updates everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me  Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.