Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

Tarehe na mwezi kama wa leo Miaka miwili iliyopita (2021) Tanzania ilimpoteza Mchambuzi Gwiji wa soka Mwalimu Alex Kashasha

KUMBUKIZI:Tarehe na mwezi kama wa leo Miaka miwili iliyopita (2021) Tanzania ilimpoteza Mchambuzi Gwiji wa soka Mwalimu Alex Kashasha

Fahamu,Tarehe na mwezi kama wa leo Miaka miwili iliyopita (2021) Tanzania ilimpoteza Mchambuzi Gwiji wa soka, Mwalimu Alex Kashasha ambaye alifariki wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Kairuki,Dar es Salaam.

Mwalimu Kashasha anakumbukwa kwa misamiati yake mingi ya kitaalamu katika uchambuzi wa mpira.

Unamkumbuka Mwalimu Kashasha kwa tukio lipi? Tuachie maoni yako

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.