Tukio la kushangaza Mama, Baba na mapacha wao wachanga wote wanasherekea siku moja ya kuzaliwa
Tukio la kushangaza Mama, Baba na mapacha wao wachanga wote wanasherekea siku moja ya kuzaliwa
Kuna uwezekano gani?! Mama, Baba na mapacha wao wachanga wote washerekee siku moja ya kuzaliwa?
Tukio hili la kushangaza Dunia limetokea Jana katika hospital ya Hillcrest nchini Marekani, ambapo Mama,baba na watoto wao mapacha wamezaliwa tarehe hiyo hiyo moja ambayo inafanana kwa wote.
Hii ina maana, Baba, Mama na watoto wao Mapacha wamezaliwa tarehe moja na mwezi mmoja ambayo ni Tarehe 18 mwezi August.
Mapacha hao(A-ria na José) walizaliwa wakiwa na uzito wa zaidi ya paundi tano katika Hospitali ya Hillcrest. Hongera Scierra na José kwa watoto wao wazuri na wenye afya bora!
What are the odds?! Mom, Dad and their newborn twins all share the same birthday today!🎉 A-ria and José were each born just over five pounds at Hillcrest Hospital. Congratulations to Scierra and José on their sweet, healthy babies! pic.twitter.com/21X7Yskarx
— Cleveland Clinic (@ClevelandClinic) August 18, 2023