Ujumbe wa WHO Leo ikiwa ni Siku ya Kibinadamu Duniani
Ujumbe wa Shirika la Afya Duniani(WHO) Leo ikiwa ni Siku ya Kibinadamu Duniani #WorldHumanitarianDay:
WHO imekuwa ikikidhi mahitaji ya kiafya ya watu walio katika hali ngumu zaidi kwa zaidi ya miaka 75.
Katika vita…katika ugomvi,wakati wa mafuriko, ukame, moto na matetemeko ya ardhi yanapotokea…upatikanaji wa huduma za afya ndio tofauti kati ya maisha na kifo.
WHO na washirika hutoa
#AfyaKwaWote
#NoMatterWhat
Today is #WorldHumanitarianDay.
WHO has been meeting the health needs of people in the most difficult situations for over 75 years.
In war…in conflict…when floods, droughts, fires and earthquakes strike…access to healthcare is the difference between life & death.
WHO and partners deliver
#HealthForAll
#NoMatterWhat
More about our work in crises ?bit.ly/3YAluXj