Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

Ahadi za Mamilioni ya Dola kwa ajili ya kupunguza uzalishaji wa hewa ya ukaa

Nchi kadhaa zimeahidi kutoa mamilioni ya dola kwa ajili ya juhudi za kuimarisha mfuko wa kusimamia shughuli za kupunguza uzalishaji wa hewa ukaa kufikia mwaka 2030.

Ahadi hizo zimetolewa katika mkutano wa kihistoria wa kilele kuhusu mazingira wa viongozi wa Kiafrika uliofunguliwa leo na rais wa Kenya William Ruto.

Umoja wa Falme za Kiarabu umeahidi kutoa dola milioni 450 kwa ajili ya kusaidia miradi ya masoko ya Kiafrika ya upunguzaji viwango vya uzalishaji hewa ukaa.

Mradi wa masoko hayo ulianzishwa nchini Misri kufuatia mkutano wa kilele wa COP 27 mwaka jana.

DailyStories

Karibu DailyStories Kwa Taarifa Zote Muhimu ndani na Nje. More Updates everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me  Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.