Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

Kuimarisha uhusiano baina ya Ufaransa na Uingereza

Paris: Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amefanya mazungumzo na Mfalme Charles wa III wa Uingereza hii leo mjini Paris, wakati kiongozi huyo alipoanza ziara ya siku tatu inayolenga kuangazia uhusiano baina ya Ufaransa na Uingereza.

Ziara hiyo ya Mfalme Charles iliyosubiriwa kwa muda mrefu inafanyika katikati ya maandamano dhidi ya mageuzi ya pensheni yanayotaka kufanywa na serikali ya Macron.

DailyStories

Karibu DailyStories Kwa Taarifa Zote Muhimu ndani na Nje. More Updates everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me  Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.