Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

Maadhimisho ya Kimataifa ya Ushirikiano wa Polisi

Leo Alhamisi tunaadhimisha kwa mara ya kwanza Siku ya Kimataifa ya Ushirikiano wa Polisi.

Ushiriki kamili wa wanawake katika shughuli zote za polisi ni muhimu ili kufikia utekelezaji wa sheria wenye ufanisi zaidi, ufaao na wenye kuwajibisha.

“Katika siku hii ya uzinduzi wa Siku ya Kimataifa ya Ushirikiano wa Polisi, napenda kuwapongeza watekelezaji sheria kutoka ulimwenguni kote kwa kujitolea kwao kwa amani, usalama na haki,” amesema Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa @antonioguterres.

DailyStories

Karibu DailyStories Kwa Taarifa Zote Muhimu ndani na Nje. More Updates everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me  Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.