Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

Minyoo huweza kusababisha tatizo la KIKOHOZI,Mara ya mwisho kutumia dawa za MINYOO ni lini?

Minyoo huweza kusababisha tatizo la KIKOHOZI,Mara ya mwisho kutumia dawa za MINYOO ni lini?.

Watu wengi hawafahamu kwamba minyoo huweza kusababisha madhara mengi mwilini.

Je wajua unaweza kuwa na tatizo la kikohozi ambacho hakiishi kumbe chanzo chake ni Minyoo?.

Fahamu hapa madhara mbali mbali ambayo huweza kusababishwa na Minyoo.

MADHARA YA MINYOO MWILINI

Baada ya mtu kuingiwa na minyoo kwenye mwil wake huweza kupata madhara haya yafuatayo;

1. Tatizo la kupungukiwa na damu mfano; baada ya kushambuliwa na minyoo aina ya Hookworms

2. Kupata maumivu makali ya tumbo

3. Mtu kuanza kukonda na uzito wa mwili kupungua kwa kasi sana

4. Mtu kupoteza kabsa hamu ya kula hasa kwa watoto wadogo

5. Mtu kuchoka kupita kiasi

6. Tumbo kujaa gesi sana mara kwa mara

7. Tumbo kunguruma mara kwa mara

8. Mtu kuanza kuharisha

9. Kupata kichefuchefu mara kwa mara

10. Kupata tatizo la kutapika mara kwa mara

11. Mtu kuanza kuwashwa sana mwilini

12. Kupatwa na tatizo la Kikohozi mara kwa mara n.k

Minyoo huingia mwilini kwa njia mbali mbali kama vile kupitia; chakula unachokula, kwa kula udongo, Kutembea peku bila viatu n.k

Ni vizuri kutumia dawa za Minyoo mara kwa mara, Unashauriwa kutumia dawa za minyoo kila baada ya MIEZI 3.

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.