Roboneka amemshika mtoto wake mchanga aliyelala kwa sura ya upendo
Roboneka amemshika mtoto wake mchanga aliyelala kwa sura ya upendo
Alikuwa mjamzito alipowasili katika Kambi ya Wahamiaji ya Bulengo huku kukiwa na vita Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), ambapo wanawake wajawazito 56,500 wameyakimbia makazi yao.
Kwa bahati nzuri, wakunga wanaosaidiwa na @unfpa walihakikisha amejifungua salama katika kliniki inayohamishika ya afya.
Ulimwenguni kote, wenzetu kutoka @unfpa wanafanya kazi ya kutoa huduma za afya na uzazi kwa wanawake na wasichana walio katika mazingira magumu, ikiwa ni pamoja na wale walio katika majanga ya kibinadamu.
Regram: @unfpa | ?: UNFPA DRC/Junior Mayindu