Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

Viongozi wa kijeshi nchini Niger wametangaza kufungua tena anga la nchi hiyo

#Niger: Viongozi wa kijeshi nchini Niger wametangaza kufungua tena anga la nchi hiyo kupisha safari za ndege za kibiashara baada ya kuifunga tangu Agosti 6 baada ya kutwaa madaraka kupitia mapinduzi.

Kitendo cha kufungwa anga ya Niger kilililazimisha shirika la ndege la Ufaransa na mashirika mengine ya barani Ulaya kufuta baadhi ya safari zao na nyingine kulazimika kuzunguuka njia ndefu katika bara la Afrika.

DailyStories

Karibu DailyStories Kwa Taarifa Zote Muhimu ndani na Nje. More Updates everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me  Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.