Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

Visa vya saratani vimeongezeka kwa watu wa chini ya miaka 50 kutoka milioni 1.82 hadi milioni 3.26

Visa vya saratani vimeongezeka kwa watu wa chini ya miaka 50 kutoka milioni 1.82 hadi milioni 3.26

#Saratani: Utafiti wa kimataifa uliochapishwa hii leo umeonyesha visa vya saratani vikiongezeka kwa watu wa chini ya miaka 50 kutoka milioni 1.82 hadi milioni 3.26 katika kipindi cha miongo mitatu.

Watafiti wametumia takwimu za tangu mwaka 2019 za uchunguzi uliofanywa na taasisi ya Global Burden of Disease iliyoainisha viwango vya aina 29 za saratani katika mataifa 204.

Watafiti hao wanasema, vichocheo vikubwa vya saratani kuwa ni ulaji mbaya na matumizi ya sigara na pombe kwa rika hilo, lakini wakikiri bado hakuna sababu ya wazi juu ya mwenendo wa ongezeko hilo ingawa ongezeko la idadi ya watu pia linachangia.

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.