Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

Wanasayansi wakuza kiinitete cha Binadamu bila mbegu za Kiume

Wanasayansi wakuza kiinitete cha Binadamu bila mbegu za Kiume:

Wanasayansi wamekuza kiinitete ambacho kinafanana kwa karibu na kiinitete cha mtoto wa siku 14 bila kutumia mbegu za kiume, mayai au tumbo la uzazi.

Timu ya Taasisi ya Weizmann ilisema “mfano wao wa kiinitete”, uliotengenezwa kwa kutumia seli shina, ulitoa homoni ambazo zilibadilisha kipimo cha ujauzito kuwa chanya kwenye maabara.

Matarajio ya mfano huo wa kiinitete ni kutoa njia ya kimaadili ya kuelewa nyakati za mwanzo za maisha yetu.

Source:bbc

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.