Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

COVID-19 na kupata matatizo kama vile alopecia, ugonjwa wa Crohn, psoriasis na vitiligo

COVID-19 na kupata matatizo kama vile alopecia, ugonjwa wa Crohn, psoriasis na vitiligo

Baada ya kuambukizwa COVID-19, watu wana hatari kubwa zaidi ya kupata magonjwa jamii ya autoimmune disorders kama vile alopecia, ugonjwa wa Crohn, psoriasis na vitiligo, kulingana na utafiti mpya.

Lakini kupata Chanjo hupunguza hatari hii, unasema utafiti kutoka Korea Kusini, uliochapishwa katika jarida la JAMA Network Open.

Watafiti waliangalia taarifa kuhusu zaidi ya wagonjwa 350,000 wa COVID-19 kutoka kati ya Oktoba 2020 na Desemba 2021. Pia walitumia kikundi cha udhibiti cha zaidi ya watu milioni 6.1. Umri wa wastani katika vikundi vyote viwili ulikuwa miaka 52. Waligawanywa sawasawa kati ya jinsia.

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.