Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

Dkt.Tulia Ackson ashinda kuwa Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU)

Dkt.Tulia Ackson ashinda kuwa Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU).

Spika wa Bunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Tulia Ackson ameshinda kwa kishindo na kuwa Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU).

Dkt. Tulia amepata ushindi wa kura 172 za Tanzania, huku Somalia wakipata kura 11, Senegal kura 59 na Malawi wakipata kura 61 katika Mkutano huo wa 147.

Uchaguzi huo umefanyika leo nchini Angola katika Jiji la Luanda na katika maelezo yake wakati akiomba kura jana, Dkt. Tulia aliwaahidi kusimamia misingi ya Umoja kwa kuongeza Ufanisi, Uwajibikaji na Uwazi.

DailyStories

Karibu DailyStories Kwa Taarifa Zote Muhimu ndani na Nje. More Updates everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me  Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.