Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

Hizi ndizo Jezi mpya za Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars

Hizi ndizo Jezi mpya za Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars).

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa kushirikiana na mzabuni wa jezi za Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Sandaland leo wamezindua jezi mpya za Stars.

TFF na Sandaland leo wametambulisha jezi za aina tatu ambapo ya bluu ni jezi ya nyumbani, yenye mistari ya njano na bluu ni ugenini na jezi ya tatu ambayo ina rangi nyeusi na kijani.

DailyStories

Karibu DailyStories Kwa Taarifa Zote Muhimu ndani na Nje. More Updates everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me  Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.