Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

Mkataba wa uwekezaji wa bandari ya Dar es Salaam utakuwa wa miaka 30 na sio 100

Mkataba wa uwekezaji wa bandari ya Dar es Salaam utakuwa wa miaka 30 na sio 100.

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Plasduce Mbossa amesema mkataba wa uwekezaji wa bandari ya Dar es Salaam utakuwa wa miaka 30 na sio 100 kama ambavyo ilikuwa ikisemwa awali.

Mbossa ameyasema hayo leo Jumapili Oktoba 22, 2023 katika hafla ya utiaji saini wa mikataba mahususi mitatu ya uwekezaji katika bandari ya Dar es Salaam Ikulu ya Chamwino, Dodoma.

DailyStories

Karibu DailyStories Kwa Taarifa Zote Muhimu ndani na Nje. More Updates everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me  Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.