Mtanange kati ya Wananchi, Yanga dhidi ya Wakulima wa Alizeti, Singida Fontaine Gate FC
Ligi Kuu ya NBC Tanzania bara inaendelea tena leo Oktoba 27, 2023 kwa mechi tatu, kubwa kuliko ni mtanange kati ya Wananchi, Yanga dhidi ya Wakulima wa Alizeti, Singida Fontaine Gate FC utakaopigwa katika dimba la Benjamin Mkapa.
Azam FC watakuwa wenyeji wa Wauaji wa Kusini, Namungo FC katika dimba la Azam Complex, Chamazi huku Wajelajela, Tanzania Prisons wakiwa wageni wa Wakusanya Ushindi wa Dar, ‘Kinoboys’.
• 16:00 || KMC FC  Tanzania Prisons
 Uhuru
• 18:15 || Yanga SC  Singida Fountain
 Benjamin Mkapa
• 20:30 || Azam FC VS Namungo FC
 Chamazi Complex