Magonjwa
Tafiti: nyuzinyuzi(fibers) Zaonekana kupunguza hatari ya kupata ugonjwa wa kiharusi
Kwa kila gramu 7 za nyuzinyuzi unazoongeza kwenye lishe yako ya kila siku, hatari yako ya kiharusi hupungua kwa 7%.
Vifuatavyo ni vyakula ambavyo ni vyanzo vya nyuzinyuzi(fibers)
- Karanga
- Viazi mviringo
- Maharage
- Popcorn
- Parachichi
- Tufaha (apples)
- Nafaka nzima
- matunda yaliyokaushwa