Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

Wanahistoria nchini Poland wamegundua mabaki ya mtoto wa karne ya 17

Wanahistoria nchini Poland wamegundua mabaki ya mtoto wa karne ya 17.

Wanahistoria nchini Poland wamegundua mabaki ya mtoto wa karne ya 17,aliyekutwa amefungwa kwa kutumia kufuli kwenye kaburi lake ili kumzuwia asifufuke kwenda kula binaadamu,

Wanahistoria hao wanaamini kwamba jambo hilo walilolikuta ni sehemu ya imani za kishetani.

Mifupa ya msichana huyo mdogo, ndio ya hivi karibuni kukutwa katika makaburi ya Kaskazini mwa kijiji cha Pien huko Poland.

Kwa kawaida makaburi hayo huzikwa watu waliotelekezwa, walioogopewa sana kwa kudhaniwa kuwa na mafungamano na nguvu za kishetani.

Je unaamini kweli mambo haya yana nafasi katika karne hii? Tupe mtazamo wako.

DailyStories

Karibu DailyStories Kwa Taarifa Zote Muhimu ndani na Nje. More Updates everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me  Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.