Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

Waziri wa Afya ameshiriki matembezi ya hisani kwa ajili ya utambuzi na elimu juu ya Saratani ya Matiti

Waziri wa Afya Mhe. @ummymwalimu leo Tarehe 21/10/2023 ameshiriki matembezi ya hisani kwa ajili ya utambuzi na elimu juu ya Saratani ya Matiti yaliyofanyika katika viwanja vya Taasisi ya Saratani Ocean Road jijini Dar Es Salaam

Waziri Ummy katika matembezi hayo ambapo ameambatana na Balozi wa Sweden nchini Tanzania Mhe. Charlotta Azaki pamoja na viongozi mbalimbali kutoka Wizara ya Afya.

Aidha, Tanzania na Sweden ni nchi ambazo zimekuwa na ushirikiano kwa miaka 60 ya maendeleo ambapo na Sekta ya Afya ni sehemu moja wapo.

Lengo la matembezi hayo ya hisani ni kujenga uelewa kwa wananchi juu ya Saratani ya Matiti ikiwa ni mwezi wa Saratani ya Matiti Tanzania ambapo huadhimishwa kila ifikapo mwezi wa 10.

Forum Manager

Content creator&editor (Ms.Asifiwe)Jukumu langu kwako ni kuhakikisha unapata elimu ya kutosha pamoja na Updates mbali mbali ndani ya http://cdp.pvh.mybluehost.me  Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.