Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

Mkataba wa Kocha Mkuu wa Simba, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ wavunjwa rasmi

Kocha Mkuu wa Simba SC, Mbrazil Roberto Oliviera maarufu kama Robertinho ameoneshwa mlango wa kutokea katika Klabu hiyo siku chahche baada ya kupokea kichapo cha mabao 5-1 kutoka kwa watani zao wa jadi Yanga.

Robertinho amejiunga na simba mwishoni mwa msimu uliopita na amefanikiwa kuipa Simba Kombe la Ngao ya Jamii mwanzoni mwa msimu huu

Soma hapa taarifa Rasmi, Kisha Utoe maoni yako;

DailyStories

Karibu DailyStories Kwa Taarifa Zote Muhimu ndani na Nje. More Updates everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me  Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.