Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

Mama na Mwana wazikwa Moshi,Agnes Chao na Mwanae, Rehema

Miili ya Watu wawili ambao ni Agnes Chao na Mwanae, Rehema Chao ambao walifariki kwenye ajali ya gari aina ya Raum katika Wilaya ya Mwanga Mkoani Kilimanjaro imezikwa leo December 02,2023 katika kijiji cha Nganyeni katika Kata ya Mwika Kaskazini Wilaya ya Moshi Mkoani Kilimanjaro

Rehema, Mama yake mzazi na Mfanyakazi mmoja walifariki dunia wakati wakiwa safarini kwa ajili ya maandalizi ya kufunga ndoa ya Rehema ambayo ilipangwa kufanyika December 2,2023 baada ya kufanya send off November 24 Mkoani Morogoro.

Familia hiyo imekubaliana kuipumzisha miili hiyo ikiwemo wa Rehema leo siku ambayo alitarajia kufunga ndoa na Mchumba wake Amani Mollel.

Via #MillardAyoUPDATES

DailyStories

Karibu DailyStories Kwa Taarifa Zote Muhimu ndani na Nje. More Updates everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me  Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.