Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

Waliofariki kwa Mafuriko Manyara wafikia 47

Idadi ya vifo vilivyotokana na janga la mafuriko Wilayani Hanang, Mkoani Manyara imefikia jumla ya watu 47 huku wengine 85 wakijeruhiwa.

Mafuriko hayo yamesababisha uharibifu mkubwa ikiwemo baadhi ya nyumba na mali, kusombwa na maji ambapo serikali imeandaa maeneo matatu kwa ajili ya kuwapatia huduma wahanga wa mafuriko.

Shule ya msingi Kateshi, Hanang na Dumanang zitatumika katika kuhifadhi wahanga hao na kuwataka kuhama katika maeneo yao mara moja bila kusubiri majanga wengine yatokee.

Akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Gendabi wilaya ya Hanang, Mkuu wa mkoa wa Manyara Queen Sendiga amesema kuwa juhudi za serikali ni pamoja na kutuma helikopta ya jeshi Ili iweze kusaidia watu walioko juu ya nyumba na miti.

DailyStories

Karibu DailyStories Kwa Taarifa Zote Muhimu ndani na Nje. More Updates everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me  Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.