Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

Ubadhirifu NHIF; 148 wachukuliwa hatua, kati yao; 129 ni watumishi vituo binafsi

Meneja wa Kitengo cha Kupambana na Udanganyifu kutoka NHIF Bi. Rose Ntundu ametoa ufafanuzi dhidi ya taarofa za upotoshaji zinazosambazwa mtandaoni kuhusu watumishi 148 wa NHIF kuhusika kwenye vitendo vha udanganyifu.

Bi. Ntundu amesema kuwa kwenye taarifa ya CAG iliyotolewa Machi 2023 ilieleza kuwa kati ya watumishi 148 walibainika wamehusika kwenye vitendo vya udanganyifu, watumishi 129 walitoka kwenye Vituo binafsi vya kutolea huduma huku watumishi 19 pekee walitoka NHIF.

Amebainisha kuwa tayari hatua za kisheria na nidhamu zimechukuliwa kwa watu hao kkupitia mamlaka zao za ajira, bodi au mabaraza ya kitaaluma huku kwa watumishi wa NHIF waliohusika wote tayari wamechukuliwa hatua.

“Nichukue fursa hii kuwasihi wanachama wetu, watoa huduma na waajiri kujiepusha na vitendo vya udanganyifu, Mfuko utachukua hatua kwa mtu yeyote atakayebainika kujihusisha na vitendo vya udanganyifu” amesisitiza Bi. Ntundu.

WADANGANYIFU WOTE DHIDI YA NHIF WAMECHUKULIWA HATUA

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass